Watu wengi wanaweza kuchagua samaki na chips kama chakula chao cha kufungashiwa kwenda kula badae. Hata hivyo, aina moja ya samaki hasa ya minofu huagizwa na asilimia kubwa ya watu karibia katika kila ...
Mwaka jana, samaki aina ya stigaree Java, alikuwa samaki wa kwanza kutangazwa ametoweka kwa sababu ya shughuli za kibinadamu. "Unaweza kuwaona wakiwa wamejizika chini ya mchanga," anasema Julia ...
Waachuuzi wa samaki na dagaa walilazimika kutumia mbinu za jadi kama vile kuni na makaa kukausha aina hii ya samaki wadogo, dagaa, hali iliyowasababishia hasara na kuchangia uharibifu wa mazingira kwa ...
Ufugaji wa samaki wa kisasakwenye visima au mabwawa ya kuchimbwa umekuwa ukishamiri duniani na Ufugaj huu wa samaki ni sawa kama ilivyo shughuli nyingine yoyote ya kiuchumi inahitaji usimamizi mzuri ...