Ndoa ni noma, lakini najua hakuna mwanaume mwenye akili poa ataamuka asubuhi na kufukuza bibi bila sababu. Ni noma kupata husband ametoka job then akifika home zake ni kuambia wife ajikate na asirudi ...