Mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube alionekana kama mtu anayejilaani kwa kushindwa kutumia vizuri nafasi mbili alizopata ...
Hii ilikuwa fainali ya kwanza kwa kila mmoja kufika na iliamuliwa kupitia mfumo wa CAF wa mikondo miwili – mechi ya nyumbani na ugenini. USM Alger ilivuna ushindi wa 1-2 ugenini katika uwanja wa ...
Katika mchezo huo timu ya Augsburg inayoshiriki ligi ya kandanda ya Ujerumani, Bundesligaimeinyuka Yanga magoli 2-1. Augsburg ilikuwa ya kwanza kuliona lango la Yanga katika dakika 36 ya mchezo ...
Klabu ya Young Africans ya Tanzania, imeingia katika fainali ya kombe la shirikisho la Azam baada ya kupata ushindi wa goli moja bila ya jibu dhidi ya Singida big stars siku ya Jumapili. Mfungaji bora ...
Baada ya kuchapwa na watani wao wa jadi Jumamosi iliyopita, mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu Tanzania bara Yanga Sports Club, wameibukia kwa Ruvu Shooting na kuitandika magoli 2-0 kwenye mechi ...
Klabu ya Yanga imewachapa watani wao wa jadi Simba SC na kuizuia klabu hiyo kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa msimu wa 2020/2021. Mabingwa watetezi Simba walihitaji kupata alama tatu ili ...