ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Watendaji wa Tume ya ...
Wanajeshi wa Sudana wamesema wapiganaji wake wamedhibiti Ikulu ya Rais iliyoko katikati mwa eneo la Khartoum. Katika wiki za hivi majuzi wanajeshi wa Sudam walikuwa wamezidisha mapigano dhidi ya ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anatarajiwa kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika Ikulu ya White House leo Ijumaa. Trump amezungumza na Putin kwa njia ya simu.
Viongozi hao wanatarajiwa kusaini makubaliano yatakayowapa Marekani sehemu ya rasilimali adimu za madini za Ukraine. Na Yusuph Mazimu na Martha Saranga & Mariam Mjahid Chanzo cha picha, Government of ...