MABAO mawili ya kipindi cha kwanza kutoka kwa nahodha msaidizi, Dickson Job na Pacome Zouzoua, yameifanya Yanga kufuzu hatua ...
KOCHA wa Nsingizini Hotspurs, Mandla Qhogi, ameonyesha imani kwa kikosi chake licha ya kupoteza kwa mabao 3–0 dhidi ya Simba ...
Uganda imefanya maajabu usiku wa kuamkia leo kwenye dimba la Nelson Mandela mjini Kampala na kujikatia tiketi ya kucheza robo fainali ya michuano ya kandanda ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani ...