Wanafunzi nchini Uganda walikuwa wakiimba nyimbo za injili kabla ya shambulio baya la wanamgambo wa Kiislamu siku ya Ijumaa, mwanamke anayeishi mkabala na shule hiyo anasema. "Kisha nikasikia mayowe," ...
Utasikia nyimbo za injili kama vile za Rose Mhando, na Christina Shusho na vile vile za kizazi kipya kama vile za Diamond Platnumz na Ali kiba. Sasa hivi nikipita huko mitaani huona sisi tunapita ...
Mwanamuziki wa Kinyarwanda Mani Martin anawaasa vijana wa Afrika kuacha kufikiria kwamba matumaini yao yako ulaya au Marekani. Katika albumu yake mpya aliyoipa jina la ''Africa ndota'' yaani -Africa ...