Jamii ya wakara kutoka katika kisiwa cha ukara mkoani Mwanza Tanzania wanaamini kuwa kuzaa watoto mapacha sio jambo la Kawaida. Kwa hivyo watoto hao wakizaliwa kuna utaratibu wa kijamii unapaswa ...
Watoto mapacha wamezaliwa wengi zaidi kwa miaka ya hivi karibuni ,watafiti wamesema. Watoto mapacha wapatao milioni 1.6 wanazaliwa kila mwaka duniani kote, katika watoto 42 wanaozaliwa kuna mapacha ...
Hospitali ya Muhimbili imeandika historia kwa kufanya upasuaji wa kuwatenganisha mapacha waliokuwa wameungana sehemu ya tumbo na kifua kwa upasuaji wa kwanza kufanywa na madaktari wazawa wa nchi hiyo ...
Jamii ya Baganda sio tu inawapa nafasi kubwa watoto mapacha lakini hata wazazi waliobahatika kupata mapacha huwekwa katika tabaka la juu ndani ya jamii. Wahafidhina wa mila za Baganda wanahisi ni ...