Kukumbatiana ni ishara kuu ya salamu ya watu wa kabila la Wanyarwanda, salamu hii ikiwa ishara ya furaha na upendo miongoni mwa watu wa jamii hii. Salamu hii ni ishara ya furaha na upendo miongoni mwa ...
Ni wakati wa wakuu wa nchi za Afrika Magharibi kutoa tathmini zao. Katika salamu zao za Mwaka Mpya, Rais wa Côte d'Ivoire ...
Kenya iliuanza mwaka huu wa 2018 (uliobakiza siku chache kumalizika) ikiwa ndani ya mtanziko mzito wa kisiasa ambao suluhu yake ilionekana kuwa mbali kufikiwa. Uchaguzi mkuu wa Agosti 8, 2017 ...
Katika Afrika ya Kati, salamu za Mwaka Mpya wa 2026 ni fursa ya kujadili uchaguzi. Nchini Gabon na Cameroon, Brice Clotaire Oligui Nguema na Paul Biya wamesisitiza uhalalishaji wa mamlaka yao kupitia ...
Miaka minne sasa tangu salamu hizo za kheri kati ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa chama cha upinzani ODM Raila Odinga, yapo mengi yaliyotajwa kuwa mafanikio. Lakini kwa upande mwingine ...